Kimataifa

REAL MADRID NA BARCELONA KUFUFUA UHASAMA LEO

Usiku wa leo kuna mechi ya Elclassico ambapo Real Madrid watakuwa wanafufua uhasama wao dhidi ya klabu ya Barcelona katika mtanangwe wa Copa Del Rey hatua ya nusu fainali raundi ya kwanza. Mechi hiyo itakayochezwa dimbani Santiago Barnabou itamkosa mshambuliaji Robert Lewandoski ambaye anauguza jeraha la misuli pamoja na Osuamnane Dembele pamoja na kiungo wa […]

REAL MADRID NA BARCELONA KUFUFUA UHASAMA LEO Read More »

MANCITY, FULHAM,, BLACKBURN PAMOJA NA BRIGHTON ZAFUZU ROBO FAINALI FA

Klabu ya Brighton usiku wa kuamkia leo imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stock City, Blackburn Rovers wakiitandika Leicester city kichapo cha 2-1. Fulham imeibuka na usindi wa mabao 2-0 dhidi ya LeeDS UNITED NA HATIMAYE Mancity ikiigaragaza Bristal City MABAO 3-0. Kwa matokeo hayo BRIGHTON, Blackburn Rovers pamoja na Fulham zitaungana na Mancity

MANCITY, FULHAM,, BLACKBURN PAMOJA NA BRIGHTON ZAFUZU ROBO FAINALI FA Read More »