MANCITY, FULHAM,, BLACKBURN PAMOJA NA BRIGHTON ZAFUZU ROBO FAINALI FA

Klabu ya Brighton usiku wa kuamkia leo imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stock City, Blackburn Rovers wakiitandika Leicester city kichapo cha 2-1.

Fulham imeibuka na usindi wa mabao 2-0 dhidi ya LeeDS UNITED NA HATIMAYE Mancity ikiigaragaza Bristal City MABAO 3-0.

Kwa matokeo hayo BRIGHTON, Blackburn Rovers pamoja na Fulham zitaungana na Mancity katika hatua ya robo fainali ya mashindano kombe la FA.