Kimataifa

MANDONGA KUREJEA KENYA KWA PAMBANO JINGINE

Bondia wa Tanzania Karim Mandonga maarufu kama Mtu Kazi ameratibiwa mechi ya marudio na bondia wa kenya Daniel Wanyonyi tarehe 18 mwezi Machi jijini Nairobi. Mandonga, alikuwa amepangwa kupambana dhidi ya bondia mwengine raia wa Kenya anayeishi Marekani Raymond “King Kong” Ochieng, ila anahitajika kupunguza uzani wa kilo 15 kabla ya pigano hilo, swala linaonekana […]

MANDONGA KUREJEA KENYA KWA PAMBANO JINGINE Read More »

JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD

Beki wa ureno mwite Joao Cancelo amesema alishindwa kukataa ofa ya mkopo kuondoka Etihad na kujiunga na Bayern Munich kwa kile anachotaja kwamba mkufunzi wake Pep Guardiola wa Manchester City alimnyima muda zaidi wa kucheza klabuni hapo jambo ambalo lilikuwa linahatarisha kushuka kiwango chake. kwa sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anachezea Baeyrn

JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD Read More »