TEN HAG AMTETEA BRUNO FERNANDEZ
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Erik ten Hag amemtetea kiungo wa kati wa kikosi chake Bruno Fernandes baada ya kukosolewa vikali mitandaoni na baadhi ya wachambuzi wa soka na mashabiki kutokana vitendo vya hasira alivyoonyesha kwenye pambano walilopoteza dhidi ya Liverpool kwa mabao 7-0 siku ya Jumapili. Bruno Fernandes alionyesha hasira baada ya kumsukuma […]
TEN HAG AMTETEA BRUNO FERNANDEZ Read More »



