Kimataifa

HAALAND AWEKA HISTORIA MANCITY IKIIADHIBU RB LEIPZIG KLABU BINGWA ULAYA

Baada ya mshambuliaji wa Manchester City, Erling Braut Haaland kufunga mabao 5 hapo jana kwenye ushindi wa mabao 7-0, ushindi walioupata Man City dhidi ya RB Leipzing kwenye mchezo wa klabu bingwa Ulaya, mshambuliaji huyo raia wa Norway amekuwa mchezaji wa tatu kufunga mabao 5, kwenye mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa Ulaya na anaungana […]

HAALAND AWEKA HISTORIA MANCITY IKIIADHIBU RB LEIPZIG KLABU BINGWA ULAYA Read More »

KADI NYEKUNDU YALAZIMISHA CASEMIRO KUKOSA MECHI NNE

Kadi nyekundu aliyopewa Casemiro katika mechi ya jana Manchester United walipokuwa wanavaana na Crystal Palace dimbani Old Trafford sasa itamlazimu kukosa mechi nne mfululizo kutokana na kupewa kadi nyekundu hivi majuzi. Casemiro alipigwa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi kiungo Carlos Alcaraz katika dakika ya 34 baada ya tathmini ya kutosha kutoka kwa refa wa

KADI NYEKUNDU YALAZIMISHA CASEMIRO KUKOSA MECHI NNE Read More »