MANDONGA YWAREJEA KENYA NA ‘MLUNGAMBUNGA’ KAMA NGUMI YAKE MPYA
Mlungambunga ndio ngumi mpya atakayokuja nayo nchini Kenya Bondia wa Tanzania Karim Mandonga atakapokuwa anashuka ulingoni dhidi ya Kenneth Lukyamuzi raia wa Uganda. Bondia huyo mwenye umri wa miaka 43 atapigana katika pambano la raundi kumi na mpinzani wake wikendi ijayo baada ya pambano la marudiano na Daniel Wanyonyi matayarisho yake kutibuka katika matayarisho. Mandonga […]
MANDONGA YWAREJEA KENYA NA ‘MLUNGAMBUNGA’ KAMA NGUMI YAKE MPYA Read More »



