HARVE RENARD AJIUZULU SAUDI ARABIA
Harve Renard ambaye ni mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Saudi Arabia amethibitisha kujiuzulu rasmi kutoka kwenye wadhifa wake wa ukocha. mkufunzi huyo ambaye ni msindi wa kombe la Afcon mara mbili ameachana na majukumu ya timu hiyo ya milki za kiarabu na sasa analenga kujiunga na timu ya taifa ya kinadada ya ufaransa. […]
HARVE RENARD AJIUZULU SAUDI ARABIA Read More »



