LUKE SHAW AONGEZA MKATABA OLD TRAFFORD HADI 2027
Beki shoto wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza mwite Luke Shaw amesaini mkataba mpya utakaorefusha makazi yake kambini Old Trafford hadi mwaka 2027. Mkufunzi wake Erik Ten Hag amempongeza Shaw kwa chaguo hilo. Kule Anfield ni kwamba Naby Keita atakuwa anaagana rasmi na Liverpool mwishoni mwa msimu huu kwa uhamisho […]
LUKE SHAW AONGEZA MKATABA OLD TRAFFORD HADI 2027 Read More »



