TEN HAG AREFUSHA MKATABA OLD TRAFFORD
Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag amerefusha mkataba wake na kusalia katika klabu hiyo hadi mwaka 2026. Hii ni baada ya mazungumzo ya muda mrefu kuhusu mkataba huo baada ya dalili nzuri kutokea kutoka kwa viongozi kumkubali aendelee kuwa mwalimu wa The Red Devils licha ya tetesi zilizokuwa msimu ulipotamatika kuwa angefutwa baada ya […]
TEN HAG AREFUSHA MKATABA OLD TRAFFORD Read More »



