Kimataifa

DE LA FUENTE ASEMA MORATA ATAPATIKANA FAINALI

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uhispania Luis De La Fuente amethibitishakuwa mshambuliaji wake Alvaro Morata atapatikana katika fainali itakayochezwa jumapili kwenye mashindano ya Euro baada ya tukio la kupewa jeraha alipoumizwa na mlizi wa uwanja pale kulipotokea shabiki kuingia uwanjani kipindi Uhispania wanashereheklea kufuzu kwa fainali. De La Fuente amethibitisha kuwa jeraha hilo halikuwa

DE LA FUENTE ASEMA MORATA ATAPATIKANA FAINALI Read More »

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA

Timu ya taifa ya Uhispania imejikatia tikiti ya kufuzu kuingia fainali ya mashindano ya Euro usiku wa kuamkia leo baada ya kuipiga ufaransa kichapo cha mabao 2-1. Katika mechi hiyo Lamine Yamal kinda mwenye umri wa miaka 16 anayechezea Barcelona aliingia katika historia ya mashindano hayo kwa kuwa mchezaji mchango zaidi kuwahi kufunga bao kwenye

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA Read More »