ARGENTINA WATETEA UBINGWA COPA AMERICA
Argentina ndio mabingwa wa fainali za Copa America mashindano yalokuwa yanaendelea katika taifa la Marekani. Argentina ambao ni mabingwa watetezi wameichapa Colombia kichapo cha bao 1-0, bao la Lautaro Martinez anayechezea Inter Milan ndio bao lilotosha kuipa ubingwa tena Argentina inayoongozwa na mkufunzi Leonel Scaloni. Fainali hiyo imetamatika mwendo wa saa moja asubui hii baada […]
ARGENTINA WATETEA UBINGWA COPA AMERICA Read More »



