MICHEZO YA SHULE ZA UPILI KURINDIMA MALINDI
Mashindano ya shule za upili katika hatua za eneo bunge yanaendelea katika mkoa huu wa pwani huku shule kadhaa zikitarajiwa kuandaa mashindano hayo kuanzia kesho na jumamosi. Katika eneo bunge la Malindi, mashindano hayo yatafanyika katika shule ya upili ya lango Baya. Samuel Mulat ambaye ni katibu wa michezo ya shule za upili katika eneo […]
MICHEZO YA SHULE ZA UPILI KURINDIMA MALINDI Read More »



