MOTO WA MBAPPE WAPIGWA BREKI NA JERAHA
Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa Klyan Mbappe atakosekana katika mechi za klabu hiyo kwa takriban majuma matatu kutokana na kupata jeraha la misuli ya paja. Kulingana na ratiba ni kuwa huenda Mbappe raia wa Ufaransa akarejea kutoka majeruhi baada ya mapumziko ya kimataifa na atakuwa amekosa mechi za Atletico Madrid, Lille pamoja na ile […]
MOTO WA MBAPPE WAPIGWA BREKI NA JERAHA Read More »



