INIESTA KUSTAFU SOKA NA 40
Andreas Iniesta anatarajiwa kutangaza rasmi kustafu kwake soka la kulipwa tarehe 8 mwezi October Kulingana na ripoti ni kuwa tarehe nane ndio amependekeza kutoa tangazo hilo kufuatia mapenzi yake ya jezi nambari nane ambayo ameienzi miaka yake ya soka. Iniesta mwenye umri wa miaka 40 kufikia sasa kabla ya kustafu kwake amecheza mechi 1016, akifunga […]
INIESTA KUSTAFU SOKA NA 40 Read More »



