INIESTA KUSTAFU SOKA NA 40

Andreas Iniesta anatarajiwa kutangaza rasmi kustafu kwake soka la kulipwa tarehe 8 mwezi October

Kulingana na ripoti ni kuwa tarehe nane ndio amependekeza kutoa tangazo hilo kufuatia mapenzi yake ya jezi nambari nane ambayo ameienzi miaka yake ya soka.

Iniesta mwenye umri wa miaka 40 kufikia sasa kabla ya kustafu kwake amecheza mechi 1016, akifunga mabao 107 na kutoa assists 191

Ameshinda mataji mengi ambayo ni pamoja na Uefa mara nne, Kombe la Dunia mara moja, laliga mara 9, Euro mara mbili miongoni mwa mataji mengine mengi

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *