RONALDO ALENGA MABAO 1000
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo alifungua ukurasa wake mpya wa kufikisha mabao elfu moja kabla ya kustafu soka la kulipwa. Jana Mshambuliaji huyo anayecheza soka la mpunga mrefu huko Saudi Arabia na klabu ya Al Nassir alifunga bao lake la 901 akiwa na timu yake ya Ureno kwenye ushindi wa 2-1 […]
RONALDO ALENGA MABAO 1000 Read More »



