FODEN ASHINDA TUZO LA PFA UINGEREZA
Mchezaji wa timu ya Uingereza na klabu ya Manchester City Phil Foden ameshinda tuzo la mchezaji bora wa muungano wa wachezaji wa kulipwa ama ukipenda wale wanaofanya uchezaji soka kama kazi. Foden mwenye umri wa miaka 24 ameshinda tuzo hiyo baada ya kuisaidia Manchester City kushinda kombe lake la nne mfululizo msimu uliopita katika EPL […]
FODEN ASHINDA TUZO LA PFA UINGEREZA Read More »



