JOAO FELIX ASAJILIWA NA CHELSEA
Klabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa Joao Felix kutoka Atletico Madrid huku sehemu kubwa ya kusaini mikataba ikifanyika. Pia amekamilisha asilimia kubwa ya vipimo vya kiafya hii leo. Usajili wa Felix unakuwa mpango wa Chelsea kumwachilia Connor Gallagher kuelekea Atletico Madrid. Ikumbukwe kuwa Felix aliwahi kuchezea Chelsea kwa mkopo lakini sasa mkataba huu ni wa […]
JOAO FELIX ASAJILIWA NA CHELSEA Read More »



