MASHINDANO YA OLIMPIKI YAANZA KUNOGA UFARANSA
Mashindano ya olimpiki yanaendelea nchini Ufaransa, na mashindano ya kwanza ya uwanjani yatakayoshirikisha wakenya kwenye riadha ni kuwa kesho kikosi cha wanaume kitashiriki kwenye mashindano ya walking race kilomita 20 kabla mbio za mita 1500, mita 5000, mbio za kupokezana vijiti kuanza rasmi ijumaa wiki hii. Kwenye soka ni kuwa timu ya taifa ya ufaransa […]
MASHINDANO YA OLIMPIKI YAANZA KUNOGA UFARANSA Read More »



