Michezo

JUNIOR STARLETS YAANDIKISHA HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA

Shirikisho la soka hapa nchini Kenya FKF chini ya Nick Mwendwa rais wa shirikihso hilo linajivunia kuwa uongozi wa kwanza wa soka kuipeleka Kenya katika mashindano ya soka ya dunia. Nick Mwendwa akizungumza baada ya kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets waliofuzu kwa kombe la dunia anasema ni faraja kubwa kwao […]

JUNIOR STARLETS YAANDIKISHA HISTORIA YA KOMBE LA DUNIA Read More »

RATIBA YA EPL 2024/2025 YATANGAZWA, MAN U WAANZIA NYUMBANI

Ratiba ya ligi kuu nchini Uingereza imetangazwa rasmi hii leo huku msimu mpya wa mwaka 2024/2025 ukitarajiwa kuanza rasmi tarehe 16 mwezi Agosti ambapo mechi ya kwanza itachezwa. Mechi ya kwanza kabisa ya EPL msimu ujao ni ile ya Manchester United dhidi ya Fulham katika uwanja wa Old Trafford. Hayo yanajiri huku matayarisho ya msimu

RATIBA YA EPL 2024/2025 YATANGAZWA, MAN U WAANZIA NYUMBANI Read More »