MICHEZO YA SHULE ZA UPILI YAAIRISHWA MOMBASA
Mashindano ya shule za upili ya muhula huu wa pili katika kaunti ya Mombasa yameahirishwa hadi mwezi ujao baada ya kucheleweshwa kwa mgao wa Fedha wa kuandaa mashindano hayo. Kulingana na katibu wa kamati andalizi ya michezo ya shule za upili kaunti ya Mombasa Silas Atsulu, michuano hii ilikuwa iandaliwe katika eneo la Jomvu na […]
MICHEZO YA SHULE ZA UPILI YAAIRISHWA MOMBASA Read More »



