MASHINDANO YA SHULE ZA UPILI YAPIGWA KALENDA
Mashindano ya shule za upili katika hatua ya kaunti za Kilifi na Tana River yameahirishwa kutoka wiki hii kuanzia siku ya alhamisi hadi tarehe 3 mwezi Julai. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo katika eneo bunge la Malindi ni kuwa changamoto ya kifedha imechangia kucheleweshwa kwa maandalizi hayo huku gumzo la sehemu ya kuandaa mashindano […]
MASHINDANO YA SHULE ZA UPILI YAPIGWA KALENDA Read More »



