Michezo

TAARIFA ZA UHAMISHO ULAYA ; MODRID, ALVAREZ, INACIO

Luka Modric mchezaji wa timu ya taifa ya Croatia sasa amechaguliwa kuwa nahodha mpya wa klabu ya Real Madrid inayoongozwa na Carlo Ancelotti Hii ni baada ya aliyekuwa nahodha wa klabu hiyo Nacho Hernandes kukamilisha uhamisho wake kuelekea Saudi Arabia Pro League. Hayo yanajiri baada ya Modric pia kurefusha mkataba wake wa mwaka mmoja na […]

TAARIFA ZA UHAMISHO ULAYA ; MODRID, ALVAREZ, INACIO Read More »

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KUANZA KILIFI

Mashindano ya Dola Super Cup yanatarajiwa kuanza rasmi katika kaunti ya kilifi katika kipindi cha takriban wiki moja ijayo na mechi ya kwzanza itachezwa katika uwanja wa chuo kikuu cha Pwani mjini kilifi. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo ni kuwa yanalenga kuvumbua talanta ambazo zitaangaziwa kwenda mbele huku maskauti wa timu mbalimbali ikiwemo klabu

MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KUANZA KILIFI Read More »