TAARIFA ZA SOKA ULAYA ; MBAPPE KUTANGAZWA MADRID, SOUTHGATE KUJIUZULU, MULLER NA SHAKIRI KUSTAAFU
Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate amejiuzulu kutoka wadhifa wake hii leo.Hii ni baada ya kupoteza fainali ya pili ya Euro ambako Uingereza (Three Lions) walipigwa kichapo cha mabao 2-1 na Uhispania. Hii ni fainali ya pili mfululizo Uingereza inapoteza chini ya Southgate baada ya kupoteza makala yalopita dhidi ya Italia katika […]



