MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KILIFI KUANZA RASMI WIKI IJAYO
Mashindano ya dola super ambayo yameendelea katika kaunti za mkoa wa pwani wiki ijayo yataingia katika kaunti ya kilifi na yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 27 mwezi July. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo mwisho wa kwisha mshindi atajishindia shilingi milioni moja. Kulingana na Saddam Suleiman ambaye ni meneja wa mauzo katika kampuni ya Dola ni […]
MASHINDANO YA DOLA SUPER CUP KILIFI KUANZA RASMI WIKI IJAYO Read More »



