YOUNG BULLS YAJIANDAA KWA DABI
Meneja wa klabu ya Young Bulls Shahib Shahib klabu inayoshiriki katika ligi ya fkf daraja la kwanza anasema kwamba vijana wake wanazidi kujiimarisha kwa dabi ya wikendi hii ambapo watakuwa wanavaana na mahasimu wao kutoka mji wa Malindi United hapo kesho Jumamosi. Amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kusajili ushindi katika mechi hiyo ambayo yajulikana […]
YOUNG BULLS YAJIANDAA KWA DABI Read More »



