RIGOBERT SONG AACHA KAZI
Rais wa shirikisho la soka Cameroon Samuel Etoo ametibitisha kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song ameachana wadhifa huyo kwa sasa. Etoo baada ya kikao na viongozi wengine wa shirikihso ameeleza kuwa walilazimu kutomuongeza Song mkataba kutokana na kukosa kufikia maazimio yao katika mashindano ya Afcon mwaka huu. Ametaja kuwa wamefanya […]
RIGOBERT SONG AACHA KAZI Read More »



