Michezo

BULLS STARLETS KUCHEZA LIGI MSIMU UJAO

Huenda klabu ya Young Bulls Starlets kutoka Malindi kaunti ya Kilifi ikaingia kwenye ligi za FKF kwa mara ya kwanza kabisa msimu ujao baada ya timu hiyo kubuniwa mwaka huu 2024. Rishadi Shedu, mkufunzi anayesimamia kikosi hicho amethibitisha kuwa msimu huu walikosa nafasi kutokana na kuchelewa kusajiliwa lakini walihusika pakubwa katika mashindano ya Chapa dimba […]

BULLS STARLETS KUCHEZA LIGI MSIMU UJAO Read More »

VIONGOZI WAOMBWA KUSHIKA VIJANA MKONO

Kaunti ya Kilifi imejaa talanta chungu nzima tatizo ni viongozi wamewaachilia vijana kuhangaika bila kukosa mwelekeo. Hii ni kulingana na mkufunzi wa klabu ya Bumbani Stars kutoka Kwale. Amesema kwamba vijana wamekosa notisha viwanjani kutokana na kukosa wafadhili alkini pia washauri wanaojali juhudiwanazopiga viwanjani. Anarai washikadau wakiwemo serikali kuzingatia kuwashika mkono ili kuinua michezo katika

VIONGOZI WAOMBWA KUSHIKA VIJANA MKONO Read More »