VIONGOZI WAOMBWA KUSHIKA VIJANA MKONO

Kaunti ya Kilifi imejaa talanta chungu nzima tatizo ni viongozi wamewaachilia vijana kuhangaika bila kukosa mwelekeo. Hii ni kulingana na mkufunzi wa klabu ya Bumbani Stars kutoka Kwale.
Amesema kwamba vijana wamekosa notisha viwanjani kutokana na kukosa wafadhili alkini pia washauri wanaojali juhudiwanazopiga viwanjani.
Anarai washikadau wakiwemo serikali kuzingatia kuwashika mkono ili kuinua michezo katika eneo hili.
Bakari amehoji kuwa mpira ni ajira jambo ambalo iwapo vijana watashikwa mkono basi huenda vijana wengi wakajipatia kipato kupitia shughuli zao viwanjani.