KENYA NA MOROCCO ZAPIGA DILI LA MICHEZO
Serikali ya Kenya imefikia makubaliano ya ushirika na taifa la Morocco kuhusu masula ya ya ukuzaji wa talanta za wachezaji wenye umri mchanga baina ya mataifa yote mawili. Hii ni baada ya jana waziri wa michezo hapa nchini Ababu Namwamba kusaini mkataba huo na waziri wa michezo na sanaa wa Morrocco Chakib Benmoussa. Waziri Namwamba […]
KENYA NA MOROCCO ZAPIGA DILI LA MICHEZO Read More »



