JUMA CHENGO KUWASILISHA HOJA YA MICHEZO
Mwakilishi wadi wa Mnarani Juma Chengo anasema analenga kuanzisha mpango wa kuwahifadhi wachezaji wa timu ya kinadada ya soka mahali pamoja kwa lengo la kuwaandaa wanaposubiri fainali za kombe la Governors Cup zitakazofanyika mwaka huu. Hii ni baada ya Mnarani Ladies kuibuka mabingwa wa kombe la eneo bunge la Kilifi Kaskazini baada ya kuizidi Matsangoni […]
JUMA CHENGO KUWASILISHA HOJA YA MICHEZO Read More »



