MAJI BOMBERS YALIA NJAA
Kusambaratika kwa klabu ya Maji Bombers iliyokuwa inashiriki katika ligi ya fkf daraja la pili ya kitaifa kumechangia pakubwa kudororora kwa viwango vya soka katika wadi ya Jilore eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti kupitia njia ya simu mkufunzi anayeshikilia klabu hiyo kwa sasa Max Khonde amethibitisha kuwa timu […]
MAJI BOMBERS YALIA NJAA Read More »



