MATANOMANE YOUTH YAZIDI KUJIPANGA
Klabu ya Matano Mane Youth inayoongozwa na kocha Emmanuel Mwalugo inazidisha kujiimarisha zaidi katika kikosi chao kuelekea kutamatika kwa msimu huu kipindi hiki cha usajili wakizidi kuleta wachezaji kambini mwao. Baada ya kufanikiwa kuvamia kambi ya Malindi UNITED na kuzinasa saini za Julius Menza na James Mwambegu maarufu kama Lukaku sasaklabu hiyo imeonyesha nia ya […]
MATANOMANE YOUTH YAZIDI KUJIPANGA Read More »



