Paps Mkare

DIMBA PATRIOTES YAJITOA KWENYE LIGI YA FKF

Klabu Ya Dimba Patriots imetangaza rasmi Kujiondoa kwenye Shughuli zozote zinazohusiana na Soka, wakidokeza Changamoto wanazopitia Mikononi mwa Shirikisho la Soka Hapa Nchini, wachezaji wa Timu hio wakiwa huru Kujiunga na Klabu Yoyote ile. Taarifa Hii Inakuja mwezi mmoja tu baada ya Upande huo wenye Makazi Yake Mjini Nairobi, kubanduliwa Nje ya Michuano ya Ligi

DIMBA PATRIOTES YAJITOA KWENYE LIGI YA FKF Read More »