TOM LANGO AAPA KUPIGANIA TIMU ZA KILIFI
Mwaniaji wa uenyekiti wa Fkf katika kaunti ya Kilifi Tom Lango amethibitisha kuwa analenga kutetea vilabu vya kaunti hiyo dhidi ya kile anachokitaja kuwa maonevu kutoka ofisi ya Mombasa. Kulingana na Lango ni kuwa Mwenyekiti wa sasa Dickson Angore hajakuwa akitetea timu, za Kilifi vilivyo jambo ambalo limesababisha timu kama Maji Bombers na Furunzi Fc […]
TOM LANGO AAPA KUPIGANIA TIMU ZA KILIFI Read More »



