Paps Mkare

SHABANA YAADHIBIWA

Klabu ya shabana Fc imepewa adhabu ya kucheza mechi tano za ligi bila mashabiki uwanjani baada ya tukio la Vurugu wikendi ilopita. Taarifa ni kuwa shabana walisababisha Vurugu katika uwanja wa Ulinzi Complex na kudburu Maafisa waliokuwa katika mechi hiyo. Kulingana na adhabu shabana watagharamia matibabu ya Maafisa hao pamoja na kukarabati uharibifu wowote katika […]

SHABANA YAADHIBIWA Read More »