WOJCIECH SZCZESNY ASAJILIWA NA BARCA
Kipa wa taifa la Poland Wojciech Szczęsny ni rasmi sasa amekamilisha vipimo vya kiafya tayari kwa kujiunga na klabu ya Barcelona. Taarifa za usajili wake zilikuja baada ya kipa nambari moja wa Barca Marc-André ter Stegen kupata jeraha ambalo limekisiwa kuwa huenda likawa la muda mrefu. Szczęsny ambaye zamani alikuwa akiichezea klabu ya Juventus pamoja […]
WOJCIECH SZCZESNY ASAJILIWA NA BARCA Read More »



