JUNIOR STARLETS YAPATA USHINDI DHIDI YA DOMINICAN REPUBLIC
Timu ya taifa ya Junior Starlets ambayo iko Dominican Republic kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18 imeipiga Dominican Republic kichapo cha mabao 3-1 katika mechi ambayo ni ya miwsho ya kirafiki kabla ya mashindano rasmikuanza tarehe 16 mwezi huu. Kenya ilianza kwa kuruhusu bao lakini ikakomboa […]
JUNIOR STARLETS YAPATA USHINDI DHIDI YA DOMINICAN REPUBLIC Read More »



