OLUNGA ASEMA HARAMBEE STARS IKO VIZURI
Nahodha wa timu ya taifa Michael Olunga anaimani na kikosi cha Harambee stars cha sasa akisema hakina majeruhi wengi jambo ambalo linawafanya kuamini kuwa licha ya kwamba wwtamenyana na mpinzani mgumu Cameroon wataibuka na matokeo mazuri. Harambe stars wanatarajiwa kukipiga dhidi ya Lions wa Cameroon katika mechi ya kuwania tikiti ya kufuzu kwa AFCON 2025 […]
OLUNGA ASEMA HARAMBEE STARS IKO VIZURI Read More »



