INTER MIAMI KUSHIRIKI KOMBE LA FIFA CLUB WORLD CUP
Klabu ya Lionel Messi Inter Miami inayoshiriki ligi ya Marekani MLS itakuwa kati ya washiriki wa mashindano ya Kombe la Dunia ngazi ya klabu mwaka 2025. Hii ni baada thibitisho kutoka kwa rais wa soka Duniani Gianni Infantino. Mashindano hayo ambayo sasa yatajumuisha timu 32 yatafanyika Marekani mwaka I kuanzia mwezi Juni 15 hadi 3 […]
INTER MIAMI KUSHIRIKI KOMBE LA FIFA CLUB WORLD CUP Read More »



