WAGOMBEA WA FKF KILIFI WAORODHESHWA
Shirikisho la soka limechapisha Orodha rasmi ya wawaniaji wa viti mbalimbali vya Fkf katika kaunti ya Kilifi. Kama ilivyotarajiwa baada ya Tom Lango afisa wa soka la Malindi kujiondoa kwenye kinyanganyiro cha Uenyekiti sasa wanaogombania kiti hicho wamesaliaa kuwa wawili na ni Mohamed Kai na Mwenyekiti wa sasa Dickson Angore ambaye analenga kutetea kiti hicho. […]
WAGOMBEA WA FKF KILIFI WAORODHESHWA Read More »



