Paps Mkare

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA

Mchezaji wa zamani wa kikosi cha Harambee stars mwite Tyron Otieno amebainisha kuwa kuna uozo mkubwa katika shirikisho la soka la Kenya haswa kwenye masuala ya malipo. Kulingana na Tyron kwenye ukanda unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa shirikisho la soka chini ya Nick mwendwa limekuwa likichelewesha malipo ya wachezaji pamoja na kuwashughulikia pindi

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA Read More »

CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO

Kocha wa timu ya taifa ya Junior starlets Mildred Cheche anasema bado anaimani na kikosi chake na kuwa wataandikisha matokeo mazuri hiyo kesho kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Mexico Cheche anasema Jr starlets katika mashindano haya ya Kombe la Dunia kwenye taifa hilo la Dominican Republic wamekutana na timu zenye Upinzani mkubwa jambo ambalo

CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO Read More »