Paps Mkare

TIMU ZA KENYA KUCHEZA HUMU NCHINI, UKARABATI UTAKAPO KAMILIKA

Huenda timu ya taifa ya soka ya Harambe stars ikaanza kushiriki mechi zake za nyumbani katika viwanja vya Kenya tofauti na mechi kadhaa za awali kutokana na ukarabati wa viwanja unao endelea kwa sasa. Kipchumba Murkomen akizungumza katika jiji la Nairobi amesema ukarabati huo unafanyika kwa kasi sana haswa katika uwanja wa Nyayo na Kasarani. […]

TIMU ZA KENYA KUCHEZA HUMU NCHINI, UKARABATI UTAKAPO KAMILIKA Read More »

JUNIOR STARLETS HATIMAYE YASAJILI USHINDI WA KWANZA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Kocha wa timu ya taifa ya Harambee Jr Starlets mwite Mildred Cheche anasema amefurahishwa na jinsi wasichana wake walijituma kupatia Kenya ushindi wa kwanza katika ngazi ya Kombe la Dunia. Akizungumza baada ya ushindi wa alama tatu licha ya kuwa Junior starlets imetmwa katika mashindano hayo kwa kupoteza mechi mbili anasema ipo haja ya wachezaji

JUNIOR STARLETS HATIMAYE YASAJILI USHINDI WA KWANZA KWENYE KOMBE LA DUNIA Read More »