TOM ALILA AOMBA SHERIA ZA FKF ZIFANYIWE UKARABATI
Ipo haja ya sheria za fkf pamoja na zile za katiba ya kenya kufanyiwa ukarabati ili kuwiana kwenye masuala ya uendeshaji wa soka la Kenya iwapo taifa hili lingesonga mbele kimichezo. Ni kauli ya mgombea wa urais wa fkf nchini Tom Alila katika mdahalo ulofanyika katika mgahawa mmoja jijini Nairobi ambapo wagombea walipewa fursa ya […]
TOM ALILA AOMBA SHERIA ZA FKF ZIFANYIWE UKARABATI Read More »



