KENYA KUMFUTA KAZI ENGIN FIRAT
Waziri wa michezo nchini Kenya Kipchumba Murkomen anasema serikali haitaendelea kumlipa kocha mkuu wa Harambee Stars Engin Firat baada ya kushindwa kuisaidia timu ya taifa ya soka Harambee Stars kufuzu katika mashidano ya AFCON mwaka ujao na badala yake atafutwa kazi. Murkomen akizungumza hiyo jana katika jingo la Talanta Plaza jijini Nairobi wakati wa uzinduzi […]
KENYA KUMFUTA KAZI ENGIN FIRAT Read More »



