YOUNG BULLS IMEENDA NYUMBANI
Huenda wikendi ijayo klabu ya Young Bulls isisafiri kushiriki mechi yake ya ligi ya fkf katika daraja la kwanza kitaifa dhidi ya klabu ya Kabati Youth. Hii ni kutokana na tukio la wachezaji wote kuambiwa wafunge firago na kuondoka katika kambi ya klabu hiyo kwa kile kilichotajwa kuwa likizo ya lazima. Bila shaka taarifa hii […]
YOUNG BULLS IMEENDA NYUMBANI Read More »



