MWABATI ASHAURIWA KUACHA SARAKASI
Mmiliki wa klabu ya Young Bulls Johson Mwabati anazidi kukashifiwa kwa hulka yake ya kusababisha fujo katika mechi hasa kipindi ambacho maamuzi yenye utata yamefanywa na refa wa katikati ya uwanja dhidi ya klabu yake. Kocha wa Congo Boys Kelvin Omondi anadai kuwa hali hiyo inafaa kusitishwa mara moja kwani sio sahihi kwa kiongozi kama […]
MWABATI ASHAURIWA KUACHA SARAKASI Read More »



