KOCHA WA JUNIOR FC YWAJIUZULU
Kocha Mkuu wa klabu ya Junior FC Wundanyi Zablon Mwale ametangaza kujiuzulu nafasi yake. Akizungumza na tama la spoti kupitia njia ya simu Mwale amethibitisha kuwa amejiuzulu kwa sababu zake binafsi ambazo zinafungamana na kukosewa heshima katika klabu hiyo. ‘’Nimeamua kuachana na klabu ya Junior kwa sababu pale nakosewa heshima na mmoja katika uongozi wa […]
KOCHA WA JUNIOR FC YWAJIUZULU Read More »



