MAREFA WANAHARIBU SOKA NSL
Maamuzi mabaya ya marefa katika ligi za Kenya yanazidi kutajwa kuwa jambo linaloharibu soka la taifa hili. Wa hivi punde zaidi ni kocha mkuu wa klabu ya SS Assad Phelix Ogutu. Kocha huyo mzoefu anadau kuwa marefa wanaoendesha ligi kubwa za Kenya kama ile ya kitaifa ya Super League wanakosa uhitimu Fulani kuchezesha ligi hizo […]
MAREFA WANAHARIBU SOKA NSL Read More »



