Paps Mkare

NANI AMESTAAFU SOKA

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Luis Nani amestaafu rasmi soka la ushindani. Nani mwenye umri wa miaka 38 raia wa Ureno ametoa taarifa hiyo ya kushtukiza siku ya Jumapili Klabu yake ya mwisho ni ya kwao Ureno kwa jina Estrela da Amadora. Kupitia mitandao ya kijamii Nani amewashukuru mashabiki zake kwa kusimama

NANI AMESTAAFU SOKA Read More »